ALHAJ DR.MWINYI AMESALI PAMOJA NA WAUMINI WA MASJID SUNNA KIKWAJUNI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali  Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na waumini wa  madhehebu mbali mbali ya dini na kusema tofauti ziliopo kati yao haziwezi kuvunja misingi ya Dini. Alhaj Dk. Mwinyi amesema hayo katika salamu alizotoa kwa waumini walioshiriki Ibada ya sala ya Ijumaa, iliofanyika Masjid